fB insta twitter

Maneno ya Wema Sepetu baada ya kuona Yusuph Manji kaachiwa kwa dhamana

on

Mwigizaji Wema Sepetu ameyaandika haya baada ya kuona taarifa za Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Yanga kuachiwa kwa dhamana leo Mahakamani Kisutu Dar es salaam baada ya kushikiliwa kwenye sakata la dawa za kulevya.

FULL VIDEO: Kabla na baada ya Wema Sepetu kuachiwa kwa dhamana Mahakamani, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Alichoongea Yusuph Manji baada ya kutajwa na Paul Makonda sakata la dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments