AyoTV

VIDEO: Wema alivyoungana na CHADEMA Mahakamani leo na walichosema CHADEMA

on

Kazi ya millardayo.com na AyoTV ni kukusogeza karibu yako kila tukio ambapo habari zilizonifikia hivi punde ni za Mwigizaji Wema Sepetu kuonekana akiwa na Viongozi na Wanachama mbalimbali wa CHADEMA Mahakama kuu leo Dar es salaam.

Wema Sepetu na mama yake mzazi walishuka kwenye gari moja (Jeep) na Mbunge Easter Bulaya (CHADEMA) huku Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akiwasubiri baada ya kushuka kwenye gari lake kisha kwa pamoja wakaingia Mahakama kuu.

Taarifa millardayo.com na AyoTV ilizozipata ni kwamba chama cha CHADEMA leo mchana kupitia Mwenyekiti Mbowe kinatarajiwa kuwatambulisha Wanachama wapya na mmojawao ni Wema Sepetu, tazama kwenye hii video hapa chini kuona walivyoingia Mahakamani leo

VIDEO: Irene Uwoya aongea kwanini hakupost wala kusema chochote baada ya Wema Sepetu kukamatwa kwenye sakata la dawa za kulevya

VIDEO: Wema Sepetu alivyorudi Mahakamani jana February 22 2017, tazama kwenye hii video hapa chini

“Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?FREEMAN MBOWE

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments