Habari za Mastaa

Wema Sepetu kathibitisha ujauzito wake kuharibika… kaandika haya maneno 73

on

Hii ni post aliyoiandika Mwigizaji Wema Sepetu saa kadhaa baada ya Baba Watoto mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan kuthibitisha kwamba ujauzito huo wa mapacha umeharibika.

Ni kweli, na imeniuma sana lakini kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah kwa kila kitu, Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilio nao na wameonyesha moyo wa kibinadamu, nawashukuru kwa upendo wenu.. MNANIPA NGUVU.

wema
Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI, Alhamdulillah kwa siku ya kesho Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.

Wema 2
Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh…sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU…. alimalizia kuandika Wema Sepetu…. ukitaka kusoma alichoandika Idris Sultan bonyeza HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments