Mix

PICHA 3: Wema Sepetu, Lowassa na Mbowe uwanja wa Taifa kutazama Simba vs Yanga

on

Mwigizaji Wema Sepetu, Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ni miongoni mwa waliojitokeza kuhudhuria mechi ya Simba vs Yanga kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam leo February 25 2017.

Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akisindikizwa kuingia uwanjani kutazama mechi

Mwigizaji Wema Sepetu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe baada ya kushuka kwenye gari wakiwa wanaingia uwanjani.

ULIPITWA? HII HAPA CHINI NI VIDEO YA WEMA SEPETU AKITANGAZA RASMI KUHAMIA CHADEMA, BONYEZA PLAY KUONA KILA KITU

FULL VIDEO: Steve Nyerere alivyotokwa machozi akiongelea sauti iliyosambaa ya maongezi ya simu na Mama Wema…. bonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Mama Wema Sepetu kuhusu simu ya Steven Nyerere na kuhamia CHADEMA, tazama kwenye hii video hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na nitakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. BONYEZA HAPA >>> FB TWITTER INSTAGRAM YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments