AyoTV

FULL VIDEO: Waziri Lukuvi asema eneo alilopewa Paul Makonda lina utata

on

Waziri wa ardhi William Lukuvi ameita Waandishi wa habari Dar es salaam February 27 2017 na kuongelea ishu ya Kiwanja alichopewa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda juzi na Mfanyabiashara mmoja ili akigawe bure kwa Wananchi kwa ajili ya kutengeneza Viwanda vidogovidogo.

Kila kitu pamoja na ishu nyingine ya Wizara ya ardhi kuhamia Dodoma utakutana nacho kwenye hii video hapa chini akiongea mwenyewe Waziri William Lukuvi.

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, tazama kwenye hii video hapa chini akiongea mwenyewe EXCLUSIVE kwenye On AIR WITH MILLARD AYO

Soma na hizi

Tupia Comments