Mix

Pichaz 12 Msiba wa John Woka, kuanzia eneo alilopatia ajali hadi nyumbani….

on

Febr 14 2016 Taarifa zilizoenea kuanzia mitandaoni hadi mitaani ilikuwa ni ishu ya  John Woka kupata ajali ya kulipukiwa na gesi,  Leo asubuhi ya Feb 16 2016, mambo yakawa ni msiba wa Woka ambaye alitamba na mdundo kama ‘Mganga’ pamoja na ile ya ‘Hii kitu’ kilichokuwa kikiwabamba wengi ni style yake ya kuimba kama mlevi ndio ilikuwa moja ya burudani kubwa.

Nikaamua kufunga safari na kuanza kujionea eneo la Sinza, Dar es salaam alilopata ajali na kisha hadi nyumbani kwao Ilala Bungoni kwenye msibani.

AW1A1788

Hili ndio eneo alilopatia ajali John Woka wakati akitengeneza gari

AW1A1789

.

AW1A1814

.

AW1A1853

.

AW1A1861

.

AW1A1872

.

AW1A1882

.

AW1A1890

.

AW1A1897

.

vlcsnap-2016-02-16-19h42m33s691

Mmoja wa mafundi waliokuwa na marehemu siku ya ajali

MZEE

Baba mzazi wa John Woka

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments