AyoTV

Video:Wolper asusia kikao asikitishwa na wasanii ‘Sisi ni mabogazi’

on

NI Headlines za mwigizaji wa filamu, Wolper ambae leo Novemba 15, 2019 alifika katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Julius Nyerere.

Staa huyo alionekana kutoka nje ya ukumbi kabla ya mkutano huo kumalizika na akakutana na waandishi wa habari kueleza kile kilichomkera itazame hii video hapa

ULIIKOSA HII YA MWIJAKU ALIVYOWAKIMBIA WAANDISHI WA HABARI ALIPOULIZWA VIDEO ZA MENINA

Soma na hizi

Tupia Comments