Habari za Mastaa

Wolper afunguka baada ya kuvalishwa pete na mpenzi wake “niacheni nilie” (Video+)

on

Ni Agosti 15, 2021 ambapo staa kutokea kwenye kiwanda cha flamu nchini Tanzania, Wolper amefanyiwa suprise ya kuvalishwa Pete na mzazi mwenzake Rich Mitindo.

Akizungumza na Ayo TV & millardayo.com Rich Mitindo alisema…“Mimi ni mtu wa kugoogle sana na ndio maana nikamua kumfanyia hiki mpenzi wangu kwani ni vitu vinavyogusa sana, Gharama ya Pete ni uwezo wangu ba bei zipo kuna za Dola 4000”- Rich Mitindo

“Nimelia kwasababu kama mtu akiona basi nimelia kutoka moyoni ni Baba mtoto wangu niacheni nilie na hapa kwanza nataka nikaanze live nilie”- Wolper

AUNTY EZEKIEL KAMTETEA WOLPER ALIVYOLIA BAADA YA KUVESHWA PETE “HAMJIULIZI, HUYU KAMPA MTOTO”

 

Soma na hizi

Tupia Comments