AyoTV

Wolper amwambia Harmonize “Sitembei na Watoto natembea na mtu mzima”

on

Msanii wa Bongofleva Harmonize alimuunganisha katika instagram LIVE mpenzi wake wa zamani Jackline Wolper na kuongea na mambo mbalimbali ila kubwa pale Harmonize alivyomuuliza Wolper anafurahia katika mahusiano yake aliyopo sasa, jibu la Wolper lilikuwa hivi…

AUDIO: SARAH WA HARMONIZE NA NICOLE WAVAANA “NITAKUNG’OA PUA SANAMU WEWE”

Soma na hizi

Tupia Comments