Habari za Mastaa

Wolper aweka vigezo vinne kwa mwanaume anayetaka kuzaa naye mtoto mwaka huu

on

Mwigizaji Star wakike Bongo Jacqueline Wolper ameweka hadharani vigezo vya mwanaume anayetamani kuzaa naye mwaka huu au mwakani akijaaaliwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper ameeleza jinsi anavyotamani kuwa mama wa watoto wanne kwenye maisha yake japo kinachompa uwoga ni kubaki single mother kwenye kuleta mwanae pindi akigombana na mwanaume atakaye zaa naye.

Pamoja na vigezo vyote Wolper amesisitiza kuwa hataki mwanaume Tajiri au mwenye fedha, bali awe mwanaume mchapakazi anayeweza kufanya kazi ya aina yoyote ile na Muda wowote.

 PLAY hapa kufahamu mengine aliyoandika Wolper vingine alivyotangaza

Soma na hizi

Tupia Comments