Duniani

Zimetajwa nchi 12 duniani zenye wafanyakazi wengi wa kike wenye elimu kubwa

on

Wanaharakati mbalimbali wa Haki za Wanawake duniani wanapambana kuhakikisha Wanawake wanakuwa katika nafasi nzuri kazini, shuleni na popote inapowezekana ili kuwainua kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.

April 2, 2017 nimekutana na stori hii  ambayo inahusu nchi zenye wafanyakazi wengi wa kike wenye kiwango cha juu zaidi cha elimu duniani ambapo Canada ikitajwa kuwa kinara kwa kuwa na wafanyakazi wa kike wenye elimu kubwa zaidi duniani.

Hizi hapa nchi 12 ambazo zina wafanyakazi wa kike wenye elimu kubwa zaidi duniani.

Nafasi Nchi % ya wafanyakazi wa kike wenye elimu kubwa
1 Canada 58%
2 Cyprus 50%
3 Estonia 50%
4 Ireland 49%
5 Ubelgiji 48%
6 Luxembourg 48%
7 Lithuania 47%
8 Finland 47%
9 Norway 47%
10 Sweden 44%
11 Uingereza 43%
12 Uhispania 42%

AyoTV MAGAZETI: Ulikosa kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania April 2, 2017? Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments