Duniani

Ubunifu mwingine wa kuvutia mtu wangu ni kwenye hii mijengo ya Hoteli Duniani… (+Pichaz)

on

Teknolojia ya sasa inazidi kukua siku hadi siku, wataalam wamekuwa wakibuni vitu mbalimbali duniani kwa lengo la kuleta mvuto pia, kitru kinakuwa kwenye mwonekano wa kitofauti kabisa yani.

Katika pita pita zangu nimekutana na hizi pichaz za hoteli ambazo zimeingia kwenye orodha ya vitu ambavyo vinashangaza na kuvutia pia Duniani.

hot17

1 – Montaña Mágica Lodge (Magic Mountain Lodge) – Chile

 

hot16

2 – The Dog Bark Park Inn – USA

 

hot15

3– Can Sleep Hotel – Denmark

 

hot14

4 – The Bird’s Nest – TreeHotel – Sweden

 

hot13

5. Gagudju Crocodile Holiday Inn –Australia

 

hot12

6 -The Mirrorcube – TreeHotel – Sweden

 

hot11

7. Das Park Hotel – Austria

 

hot10

8– Glass Igloos – Kakslauttanen Hotel and Igloo Village – Finland

 

hot8

9- V-House Jungle Hotel – Mexico

 

hot7

10- Zhangzhou Wei Qun Lou Inn – China

 

hot5

11. Mira Mira Fantasy Accommodation – Australia

 

hot2

12. Hang Nga Guesthouse and Art Gallery – Vietnam

 

hot3

13- La Balade des Gnomes Hotel – Belgium

 

tem

14- Elephant Villa – Kumbuk River Resort – Sri Lanka

 

cot

15- Costa Verde Hotel – Costa Rica

Hotel Ipi imekuvutia mtu wangu?

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata piausisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments