Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: World Cup 2022 inaendelea kutoa fursa kwa Watanzania
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > World Cup 2022 inaendelea kutoa fursa kwa Watanzania
Mix

World Cup 2022 inaendelea kutoa fursa kwa Watanzania

November 20, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Leo tarehe 29 Novemba 2022, Betway Tanzania imeungana na Airtel Money Tanzania kutangaza promosheni kambambe itakayo wahusisha wateja wote wanao cheza kwa Betway kupita Airtel Money Msimu huu wa Kombe la Dunia Qatar.

Macho ya ulimwengu mzima yamegeukia huko nchini Qatar kushuhudia mataifa 32 yakichuana kuwania Kombe la Dunia. Raia kutoka nchi washiriki na wapenzi wa michezo kote ulimwenguni wanazidi kufuatilia kwa karibu zaidi kadiri michuano hiyo inavyozidi kwenda katika hatua za juu.

Hivyo na sisi kama wadau wakubwa wa michezo tumefungua rasmi promosheni itakayowawezesha wateja wote wanaocheza kupitia mtoa huduma wa Airtel Money kujishindia zawadi za Pesa Taslimu.

Tanzania kama ilivyo kwa mataifa mengine ambayo hayakufuzu kwa michuano hiyo haina ushiriki wa moja kwa moja. Hata hivyo mashabiki wa michezo nchini Tanzania wanafuatilia michuano hiyo kwa ukaribu sana na kushiriki kwa njia mbalimbali. BONYEZA PLAY KUTAZAMA

https://millardayo.com/wp-content/uploads/2022/11/video.mp4

 

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: habaridaily
Rama Mwelondo TZA November 20, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Pigo kwa Ufaransa, Benzema kukosa Kombe la Dunia 2022
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 21, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?