Mix

Hizi ni hoteli 10 kongwe lakini bado ni za kifahari zaidi duniani (Pichaz)

on

 

Mindombinu bora ni mj aya sababu inayofanya miji kukua kwa kasi sana hasa kwa nchi zinazoendelea  duniani.

Katika pitapita zangi nimekutana na hizo hoteli kubwa na Maarufu duniani ambazo nyingi zilijengwa wakati wa vita ya dunia lakini mpaka sasa ni miongoni mwa hotel za kifahari kabisa duniani.

Zote zimekuwekea hapa na miaka iliyojengwa hoteli hizo

HOT1

The Taj Mahal Palace ipo Mumbai, India-ilijengwa mwaka 1903

 

HOT2

Beverly Hills Hotel ipo Los Angeles, ilijengwa mwaka 1912

 

HOT3

The Ritz ipo Paris, Ufaransa-ilijengwa mwaka 1898

 

HOT4

Peninsula ipo Hong Kong, China-Ilijengwa mwaka 1928

 

HOT5

The Plaza ipo New York,Marekani-Ilijengwa mwaka 1907

 

HOT6

Raffles Hotel ipo Singapore-ilijengwa miaka 125 iliyopita

 

HOT7

Claridge Hotel ipo London, Uingereza-Ilijengwa mwaka 1898 wakati wa vita ya pili ya dunia

 

HOT8

The Ritz Hotel ipo London, Uingereza-Ilijengwa mwaka 1906

 

HOT9

Shelbourne Hotel ipo Ireland-Ilijengwa mwaka 1824

 

HOT100

The Waldorf ipo New York, Marekani-Ilijengwa mwaka 1890

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments