AyoTV

Watu na rekodi zao, hawa wameamua kujirusha kutokea kwenye hili jengo refu duniani

on

Screen Shot 2014-04-24 at 11.10.49 AM
Vince Reffet and Fred Fugen ndio wameivunja hii rekodi kwa kujitosa kuanzia juu ya jengo refu zaidi duniani kwa sasa liitwalo Burj Khalifa lenye gorofa 165 ambalo lipo Dubai

Tupia Comments