Tanzania sio ya muziki pekeyake, sio ya Big Brother pekeyake, Mwanambagala Mbwanna Samatta kaionesha dunia kwamba japo Timu za Taifa hazisogei kwenye headlines za kimataifa lakini na sisi tumo.
Unajua kila mtu kuna time anakosea au vipi mtu wangu, umewahi kuona mkali kama Cristiano Ronaldo anakosa goli la wazi ?!
Imewahi tokea aisee, nae yumo kwenye hii list ya wakali 10 wa soka waliowahi kukosa magoli ya wazi kabisa !! Wote 10 hawa hapa kwenye video yao mtu wangu.
https://www.youtube.com/watch?v=0-ZSoZScqBU
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.