Habari za Mastaa

ON AIR: Wolper asimulia alivyonyang’anywa gari na Sponsor, hataki iwatokee wengine

on

Huwa inawatokea baadhi ya Warembo akiwemo Mwigizaji wa Tanzania Jackline Wolper ambae alipewa vitu mbalimbali na Uncle Sponsor aliyekua akimzimia lakini mwisho wa siku yule Uncle akaja kuvifata na kuchukua vitu vyake akiwa na Polisi…. kwenye hii video hapa chini Wolper kasimulia mwanzo mwisho

VIDEO: Hatimae Wolper afunguka mwanzo mwisho kuhusu kuachana na Harmonize, Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho…. bonyeza play hapa chini kumtazama

UNATAKA KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. fanya jambo moja tu rahisi… BONYEZA PAGE ZIFUATAZO ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER >>> pia bonyeza SUBSCRIBE HAPA >>> YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments