Mabomba ya mradi wa maji unaohudumia wananchi zaidi ya elfu tano ikiwemo Shule ya Sekondari katika Wilaya ya Karagwe yamekamatwa yakipelekwa nchi jirani ya Rwanda huku baadhi ya watuhumiwa wakiwa tayari wanashikiliwa na Polisi akiwemo tajiri mkubwa Wilayani humo.
DC wa Karagwe, Godfrey Mheruka ameeleza mchakato ulivofanyika mpaka wanafikia hatua ya kuyapata.