Mix

Haya ni maswali mengine yaliyoulizwa kwenye mazungumzo ya Rais Kikwete na Watanzania waishio Marekani.

on

prezdaaRais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete Usiku wa Agosti 2 2014,alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot iliyopo jijini Washington DC Baada ya hotuba yake,Rais Kikwete aliruhusu maswali kutoka kwa Watanzania hao.

Miongoni mwa maswali hayo ni yale yaliyotaka uthibitisho wa Rais juu ya taarifa aliyowahi kuitoa Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa kuhusu madai ya Ridhiwan Kikwete kukamatwa na madawa ya klulevya China.

Rais ametoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo,yapo maswali mengi mengine ambayo Rais ameulizwa,Ripota wa Nguvu wa millardayo.com aliyepo nchini Marekani Mubelwa Bandio karekodi kila kitu na hiki ndicho kilichotokea.

Hizi ni dakika 30 za maswali hayo na majibu,Bonyeza play kusikiliza

Tupia Comments