Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Alietengeneza wimbo wa RC ‘Sukuma ndani’,’Jifanye unajikuna’ kafunguka

on

Headlines za mkuu wa mkoa wa Tabora,  Agrey Mwanri bado zinaendelea kuchukua vichwa vya habari kila siku hususa mitandao ya kijamii, sasa hapa Ayo TV imempata Dj Summer kutokea kituo cha radio East Africa ambae amezungumza juu ya ubunifu wake wa kutumia sauti za RC wa Sukuma na kuzifanya kuwa kama wimbo mmoja.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza alietengeneza wimbo wa RC Sukuma ndani

ULIKOSA HAMISA ALIVYOIMBA LIVE WIMBO WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments