Top Stories

Ishu ya maji kuchanganyika na kinyesi Arusha RC Gambo aingilia kati (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema suala la maji kudaiwa kuchanganyika na kinyesi na kuwasababishia watu kuumwa na tumbo linafanyiwa kazi nakusisitiza kwamba maji ya Arusha ni safi na salama na anayepinga kuhusu hilo anatakiwa athibitishe kwa kupima kwenye maabara.

RPC mpya Arusha kaanza kutema cheche “nachukua hatua dakika sifuri” (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments