Top Stories

SIMANZI: Mwili wa Boss Ruge ukiwewa ndani ya kaburi Kijijini kwao (+video)

on

Jeneza la aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba likiteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika kijijini kwao Kiziru mkoani Kagera.

SIMANZI: MWILI WA BOSS RUGE UKIWEKWA NDANI YA KABURI KIJIJINI KWAO

Soma na hizi

Tupia Comments