on air with millardayo

Exclusive: Wastara aeleza kwanini ndoa yake na Mbunge imevunjika ndani ya siku 80, pia kukatwa mguu

on

Mwigizaji Wastara anavyo vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar, hii ndio ndoa yake iliyowahi kukaa kwa muda mfupi zaidi… kaongelea pia mguu wake kutaka kukatwa na mengine kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments