Top Stories

Watanzania wawili wanaosakwa na Polisi Marekani (+video)

on

Wanaume wawili wanaotajwa kuwa Watanzania wanasakwa na Polisi wa Lenexa huko Kansas Marekani baada ya kuondoka na Mwanamke mmoja na kwenda kumbaka kwa zamu baada ya kukutana nae kwenye Baa waliyokua wanakunywa.

Inaripotiwa kwamba Wanaume hao ambao walisikika wakiongea Kiswahili waliondoka na Mwanamke huyo wakiwa kwenye gari aina ya BMW ambapo Polisi walinasa video za gari hilo likiwa linaondoka kwenye eneo hilo, tazama zaidi kwenye hii video kujionea

VIDEO: MTANZANIA ALIYEKATAA MSHAHARA WA TSH. MILIONI 425 MAREKANI AREJEA NYUMBANI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI, PROMOTA ANASEMA WATU 500 WALIKOSA NAFASI… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments