Top Stories

“Magufuli ukimuona ni mdogo lakini Chuma cha Mkoloni” -Dr. Molel

on

Kampeni za Uchaguzi katika Jimbo la Siha zimehitimishwa February 16, 2018  ambapo nakusogezea alichongea Dr.Godwin Molel ambaye alikuwa Mbunge wa Siha na sasa anawania tena kurudi katika kiti hicho kupitia Chama cha Mapinduzi.

Dr. Molel amewataka wananchi wa Siha kumpigia kura ili aweze kutimiza mahitaji yao katika jimbo hilo pia amemsifia Rais Magufuli kuwa anafanya kazi nzuri katika kujenga Taifa. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akisema ‘Magufuli ni mdogo ila ni chuma cha Mkoloni’.

“HUYU ALISEMA HATAKI MUUNGANO LEO AMEPOTEA NJIA” -MASAUNI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments