fB insta twitter

Ujumbe wa Rais Magufuli aliomtumia Rais Kagame baada ya ushindi leo

on

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangazwa mshindi wa Urais wa nchi hiyo baada ya kushinda katika uchaguzi Mkuu uliofanyika leo August 5, 2017 na kumrudisha madarakani kwa muhula wa tatu.

Baada ya ushindi huo Rais wa Tanzania John Magufuli ametumia ukurasa wake twitter kumtumia salamu za pongeni Rais Kagame akiandika>>>”Nakupongeza Mhe. Paul Kagame kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Rwanda kwa kipindi kingine. Kwa niaba ya Watanzania wote nakutakia mafanikio mema.”

ULIPITWA? Rais JPM ahutubia Tanga, kawakutanisha Ruge na Makonda…tazama video hii!!!

Soma na hizi

Tupia Comments