Duniani

Umewahi kuyaona Mashindano ya Wanaume kubeba wake zao?? Cheki kwenye Video yake..

on

Ukiambiwa kuna aina nyingi ya Mashindano Duniani basi ujue kwamba yako ya aina nyingine ambayo wewe hujawahi kuyasikia wala kuyashuhudia, hii ya wanaume kubeba wake zao je?

John Patriquin/Staff Photographer: Brendan Doherty and Lauren McMillan from Brookline, Mass. lead Jim and Tanya Watson from South Portland over the first obstacle during the 13th annual North American Wife Carrying Championship at Sunday River in Newry, Maine Sat. Oct.6,2012.

Baba kwenye harakati za kuusaka ushindi na mpenzi wake shingoni.

Iko hivyo mtu wangu, wanaume wa Florida, South Carolina na Colorado Marekani walijipanga kabisa kushiriki Mashindano hayo ya mwaka, hii ilikuwa October 12 2015, kazi sio rahisi.. unakatisha kwenye magogo, mchanga, madimbwi ya maji, na washindi pia kuna zawadi zao ikiwemo pesa ambayo itazidishwa mara tano ya uzito wa mwanamke na pia kwenda kushiriki Mashindano ya Dunia ya kubeba wanawake ambayo yatafanyika Finland.

Unaweza kucheki kipande cha Video mashindano hayo ilivyokuwa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB, YOUTUBE

Tupia Comments