Habari za Mastaa

Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…

on

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wayne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine.

Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na  2009.

Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa bora kwa timu ya vijana chini ya miaka 21.

Rooney amefanikiwa kuibuka na shindi huo kwa mara nyingi baada ya kufunga jumla ya mabao 51 na kuvunja rekodi ya Bobby Charlton aliyefunga magoli 49.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments