AyoTV

VIDEO: Wizkid alivyotumbuiza kwenye Fiesta 2016 Mwanza

on

Najua kuna list kubwa ya watu wangu ambao walikuwa na hamu kushuhudia mambo yalivyokuwa kwenye stage ya FIESTA 2016 ambayo imeanza ziara yake mikoani kwa sasa na ilianzia Mwanza August 20 1016 ambapo palikuwa na list ndefu ya wasanii kutoka bongoflevani na pefomance ya msanii kutoka Nigeria Wizkidayo‘.

Camera za Ayo TV na Millardayo.com zimeweza kukamata tukio zima pale Wizkid alivyotisha stegini na nimekuwekea video hapa chini mtu wangu, kama hukubahatika kuwa kwenye Fiesta Mwanza, pia usisahau kuniacha comment yako.

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA ALIKIBA ALIVYOINGIA KWA SUPRISE KWENYE TAMASHA LA FIESTA 2016 MWANZA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments