Habari za Mastaa

AUDIOMpya: Wizkid katuletea hizi single zake mpya tatu kwa mpigo

on

Star Boy Wizkid mwimbaji na rapa kutokea Nigeria anazishikilia headlines zote kubwa kwenye entertainment kwasasa hivi, na hii ni nyingine baada ya kufanya collabo na Drake kwenye hit single ya Closer, leo ameachia single nyingine tatu alizofanya na mastaa Trey Songz na Ty Dolla Sign kutoka Marekani.

Ni time yako kuzisikiliza zote hapa chini.

Wizkid – One For Me (feat. Ty Dolla Sign)

Wizkid – Gbese (feat. Trey Songz)

Wizkid – Dirty Wine (Feat. Ty Dolla Sign)

VIDEO: Hukuiona hii ya Wizkid , DJ Maphorisa, DJ Buckz na EMTEE walivyoperform kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 SA? Itazame hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments