Top Stories

“Hamuwezi kujua mateso ninayoyapata, ni shida kuwa Rais” – President JPM

on

Jumamosi ya September 23, 2017 Rais Magufuli ameendelea na ziara ya kikazi katika Mkoa wa Arusha ambapo leo amewatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi kundi 61/16 katika sherehe iliyofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Akiwa katika sherehe hizo President Magufuli alipata nafasi ya kuwahutubia Watanzania.

Mbowe asema alipo Dereva wa Lissu na kwanini hakuripoti Polisi

Soma na hizi

Tupia Comments