Habari za Mastaa

MSIKITI ALIOJENGA MZEE MAJUTO NA NYUMBA ANAZOMILIKI

on

Baada ya kuepo kwa tarifa kuhusu mzee Majuto kujenga Msikiti huko kwake kijijini pamoja na Madrassa kabla ya umauti haujamfika, millardayo.com na Ayo TV zimefika mpaka kwenye mji wake huko Kiruku, Chumbageni Tanga ambapo ndipo alipojenga msikiti na nyumba zake nyingine ikiwemo kuacha taarifa ya kuzikwa mahali hapo pindi atakapo fariki.

VIDEO:HII NDIO NYUMBA YA MZEE MAJUTO ILIYOPO TANGA MJINI 

Soma na hizi

Tupia Comments