Habari za Mastaa

Steve Nyerere kafunguka, waigizaji wa Uzalendo kwanza wajitosa kushiriki Sokoine Marathon

on

Kikundi cha waigizaji cha Uzalendo Kwanza kinacho ongozwa na Steve Nyerere kimezungumza na waandishi wa habari leo April 3, 2019 na kuelezea kuhusu ushiriki wao kwenye mashindano ya Sokoine Marathon yanayotarajia kufanyika hivi karibuni huko mkoani Arusha.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO

EXCLUSIVE: RUBY KAFUNGUKA, KATAJA JINSIA YA MTOTO WAKE “NDOA VERY SOON”

Soma na hizi

Tupia Comments