Top Stories

VideoFUPI: RC Gambo kafika eneo la ajali ya moto usiku huu

on

Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amefika katika Kata ya Sekei ambako kumezuka moto na kuteketeza nyumba za Polisi usiku huu ambapo familia 13 za Polisi zenye jumla ya watu 44 zimekosa mahala pa kulala kutokana na nyumba zao kuteketea kwenye moto huo.

RC Gambo ameagiza utaratibu ufanyike haraka kuhakikisha familia hizo zinapatiwa mahala pa kulala usiku huu huku utaratibu mwingine ukiendelea kufanyika.

Waziri Nchemba karudi Jimboni kwake na maamuzi mapya

Soma na hizi

Tupia Comments