Top Stories

DC Monduli kathibitisha linalodhaniwa bomu kuuwa watoto watatu

on

Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta amethibitisha kuwa watoto wawili wamefariki baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu wakati wanachunga mifugo yao kwenye eneo la Jeshi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’ ambalo hufanyia mazoezi.

DC Kimanta amesema tukio hilo limetokea Ijumaa jioni katika Kijiji cha Nafco kilichopo katika Kata ya Loksale Wilayani Monduli katika eneo linalotumiwa na Wanajeshi kwa ajili ya kufanyia mazoezi na hakuna mtu anayeruhusiwi kufanya shughuli yoyote katika eneo hilo.

Katika mkakati wa kuhakikisha ajali za barabarani zinakoma kwa madereva kuwa makini kufuata sheria na kanuni za Usalama Barabarani, Traffic Mwanza wamezikusanya BILIONI kwa faini tu barabarani.

Soma na hizi

Tupia Comments