Habari za Mastaa

Ema The Boy amepotea, hajulikani alipo siku ya 5 leo

on

Moja ya stori inayosambaa kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu kutoonekana kwa Producer wa Bongofleva Ema The Boy ambaye inadaiwa tangu September 10, 2017 ikiwa leo ni siku ya tano hajaonekana na hafahamiki aliko kwa sababu hata simu zake hazipatikani.

Zari ajibu kuhusu Diamond na Dillish

Ni kweli Diamond anatoka kimapenzi na mshindi wa BBA?

Soma na hizi

Tupia Comments