Top Stories

BUNGENI! TAARIFA YA SPIKA KUHUSU LISSU “Risasi kati ya 28-32 zilitumika”

on

September 8, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai ametoa taarifa rasmi ya tukio la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambaye ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Dodoma jana mchana.

>>>”Risasi zilizotumika ni kati ya 28 hadi 32 huku risasi tano zikiwa zimempata kwenye mwili wake.” – Spika Ndugai.

BREAKING NEWS: TAMKO LA CHADEMA KUHUSU KUSHAMBULIWA KWA RISASI TUNDU LISSU

Soma na hizi

Tupia Comments