AyoTV

“Niitahadharishe Serikali katika hili” – Hussein Bashe

on

September 13, 2017 Serikali iliwasilisha Bungeni muswada wa 2017 wa Sheria ya Reli (The Railway Bill 2017) na miongoni mwa waliopata nafasi kuwasilisha michango yao ni pamoja na Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe.

“Kwa yanayoendelea hakuna mwenye uhakika wa maisha” – Hussein Bashe

Soma na hizi

Tupia Comments