Top Stories

VODACOM wamfuraisha mkazi wa Mbagala aondoka na Gari

on

Mtandano wa Vodacom Tanzania leo August 2,2018 wametoa zawadi ya Gari jipya kwa Salum Chande Athuman mkazi wa Mbagala ambaye ameongoza kutumia M-Pesa mara nyingi zaidi. Hii imekuja ikiwa ni kusherekea miaka kumi ya mafanikio ya M-Pesa. Tazama Video hapa chini kwa kubonyeza PLAY.

Miaka 10 ya M-Pesa, Wazee wasimulia walivyokuwa wakituma hela kwa Basi (+video)

ULGSP: SUMBAWANGA wameyaona ya DSM, ”WAMEJIPANGA KWA MIAKA 20”

Soma na hizi

Tupia Comments