Habari za Mastaa

VIDEO: Episode 2 ya Warembo wa Tanzania walivyojitokeza kuonyesha vipaji vya kuigiza kwenye X Baller

on

Baada ya kufanya vizuri kwenye movie ya Going Bongo ambayo ilizihusisha nchi mbili ambazo ni Marekani na Tanzania. Mwigizaji kutokea Tanzania Ernest Napoleon anajiandaa na movie yake nyingine inaitwa X Baller na ameibidi atafute warembo wa kuigiza nae Dar es salaam, kama ulipata nafasi ya kuangalia X Baller Audition Episode 1, nimekuwekea hapa Episode 2 

ULIIKOSA HII YA ERNEST NAPOLEON ON AIR WITH MILLARD AYO? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments