Habari za Mastaa

VIDEO: Episode 3 ya Warembo wa Tanzania walivyojitokeza kuonyesha vipaji vya kuigiza kwenye Xballer

on

Ernest Napoleon ni mwigizaji kutokea Tanzania ambaye uwezo wake tayari ameshauonyesha kwenye movie ya Going Bongo ambayo ilizihusisha nchi mbili ambazo ni Marekani na Tanzania.

Sasa hivi anajiandaa kufanya movie yake nyingine inaitwa X Baller na imebidi atafute mrembo wa kuigiza nae Dar es salaam, baada ya kuachia episode 1&2 ya audition hizo sasa ameachia hii episode 3 itazame hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA YA WASTARA KUELEZA KWANINI NDOA YAKE NA MBUNGE IMEVUUNJIKA NDANI YA SIKU 80? UNAWEZA KUANGALIA HII VIDEO HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments