Top Stories

BREAKING: Shuhuda, RPC wasimulia Hiace ilivyozama Ziwa Victoria na kuua watu 12

on

Stori kubwa leo October 9, 2017 kutoka Kanda ya Ziwa hasa katika Mkoa wa Mwanza ni kuhusu ajali ya Hiace kuzama ndani ya maji katika Ziwa Victoria kwenye Kivuko cha Kigongo Ferry ambapo watu 12 wamefariki huku watu watatu wakijeruhiwa.

Tayari miili 12 imeshaopolewa na zoezi la uokoji kutafuta milli mingine linaendelea ambapo Kamanda wa Polisi Mwanza AHmed Msangi pamoja na Shuhuda wa ajali hiyo wameeleza namna ilivyotokea.

KITANZINI: Eneo la kihistoria lililotumiwa na WAKOLONI kuwanyonga WAHEHE

Soma na hizi

Tupia Comments