Top Stories

JOSHUA NASSARI: “Tumewasiliana na TAKUKURU, kesho tunaupeleka ushahidi”

on

Baada ya kuonesha video wakidai ni ushahidi kuwa rushwa ilitumika kuwarubuni Madiwani 10 waliohama CHADEMA, Mbunge Joshua Nassari amesema wataendelea kutoa ushahidi zaidi kwamba ofisi za umma zinatumika kufanya vitendo hivyo.

Alichozungumza Lema baada ya kutoa ushahidi wa Madiwani kurubuniwa

Soma na hizi

Tupia Comments