Michezo

Mbunge wa Karagwe kwenye soka tena, MILIONI 20 zimehusika

on

Tunajua kwamba michezo ni afya na katika kuonesha kukubaliana na hili Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa ameamua kuwakusanya vijana katika Jimbo lake na kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama ‘Bashungwa CUP’ na kutenga zaidi ya Tsh Milioni 20.

UKWELI KUHUSU NGUVA: Ni SAMAKI au BINADAMU? Analiwa?

Soma na hizi

Tupia Comments