Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PROFESSOR JAY! Baada ya nyumba yake kupitiwa na bomoabomoa
Share
Notification Show More
Latest News
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > PROFESSOR JAY! Baada ya nyumba yake kupitiwa na bomoabomoa
Top Stories

PROFESSOR JAY! Baada ya nyumba yake kupitiwa na bomoabomoa

October 1, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Professor Jay’ ni miongoni mwa mahanga wa zoezi la bomoabomoa linaloendelea ambalo linafanywa na TANROADS kuondoa nyumba zilizopo ndani ya hifadhi ya barabara ili kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro.

Baada ya tukio hilo, kupitia Instagram yake, Professor Jay alieleza namna alivyosikitishwa na zoezi hilo lililotokea wakati yupo kwenye majukumu yake ya kibunge kwenye Jimbo la Mikumi.

>>>”Mimi ni mmoja wa wahanga wa hili zoezi la kubomolewa nyumba zetu huku Mbezi Kimara Tarehe 29/9/ 2017. Jana nikiwa katika majukumu jimboni Mikumi Majira ya saa kumi mbili hivi jioni, nilitaarifiwa kwamba, watu wa Tanroads wakiwa wameambatana na grader mbili na magari mawili ya polisi (defenders) yenye askari waliokuwa na silaha mbalimbali za moto walikuwa wanabomoa nyumba yangu.

“(sijawahi kuumia kiasi hiki ?) Nimesikitishwa sana jinsi Tanroads wanavyoweza kujichukulia maamuzi bila ya kujali mhimili muhimu wa Mahakama wametoa maagizo gani. ? Na taratibu zilizotumiwa kubomoa nyumba yangu bila ya mimi na Tanesco kupewa taarifa saa kumi na mbili jioni (haukuwa muda wa kazi) na kubomoa huku Umeme ukiwa unawaka ni kitendo ambacho kwanza kina hatarisha maisha ya wabomoaji wenyewe, maisha ya familia yangu pamoja na majirani zangu , LIMENISIKITISHA zaidi.

“Nasema hivi kwasababu Tanesco wamenipigia simu baada ya masaa 24 au zaidi baada ya zoezi la kubomoa nyumba kufanyika kunitaarifu kuja kukata Umeme kabla ya ubomoaji huo, pindi nilipo waambia kwamba mbona nyumba IMESHABOMOLEWA kabisa na sijaweza kuokoa kitu chochote na hata hiyo meter yenu mnayoiulizia mkaitafute kwenye kile kifusi cha nyumba yangu kilichokusanywa kwa pamoja na watu wa Tanroads. Tanesco walishangazwa sana kuvunjwa nyumba yangu kwa taratibu hizo.

“Lakini naamini kila kitu kinatokea kwa sababu maalum. Nimejifunza kumtegemea Na kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Na hili ni moja ya mitihani ya hapa duniani. Nimepokea na kumsikiliza Mungu ana mipango gani juu yetu katika familia yangu mbeleni. Tumelipokea na Naamini tutashinda ??.”

Kimara wanavyolala nje baada ya bomoabomoa

ULIPITWA? BOMOA BOMOA DAR: Wakazi Kimara waeleza wanavyoishi kwa shida…tazama kwenye hii video hapa chini!! 

You Might Also Like

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

TAGGED: CHADEMA, Profesa Jay, TZA HABARI
Millard Ayo October 1, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AyoTV MAGAZETI: Wajanja wapiga mil 238, CCM mambo hadharani
Next Article PICHA 10: Romy Jons, Gigy Money walivyotokelezea kwenye show Singida
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023

March 27, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 25, 2023

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?