Habari za Mastaa

Body guard wa Diamond, Mwarabu Fighter kapata ajali

on

Leo June 22, 2018 Mwarabu Fighter ambaye ni body guard wa muimbaji Diamond Platnumz, amethibitisha kupata ajali na kuumia kichwani ambapo kwa sasa amelazwa katika hospital ya Muhimbili ikiwa anaendelea na matibabu .

Hata hivyo inasemekana kuwa ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbezi Beach Africana na alikuwa amepanda Pikipiki yeye pamoja na dereva na walikuwa wana -overtake Gari Kubwa kisha walipofika katikati wakakutana na Pikipiki nyingine ambayo ilikuwa ikitokea upande wa pili na wakagongana nayo uso uso.

Mwijaku kafunguka “Dogo Janja hana sauti kwa Uwoya, Shamsa Ford ni mnafiki”

Soma na hizi

Tupia Comments