Habari za Mastaa

VIDEO: Mpaka studio kwa Abbah, aonesha alivyozisuka ngoma za Darassa, Marioo na wakali wengine

on

Ni mkali Abbah aliyehusika kutengeneza hit song kibao kwenye game ya Bongolfeva ambapo ameipa AyoTV na millardayo.com heshima ya kufika mpaka studio kwake na kupiga naye story huku akionesha sehemu ya kazi zake alizowahi kuzifanya ambazo zimeshatoka na ambazo bado hazijatoka za wasanii mbalimbali.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

NOMA!! HII NDIO STUDIO YA MKALI S2KIZZY BAADA YA KUONDOKA SWITCH RECORDS

MWANZO MWISHO: LULU DIVA ASIMULIA ALIVYOUZA MGAHAWA WA FEROOZ ENZI HIZO NA HAKULIPWA HATA MIA

Soma na hizi

Tupia Comments