AyoTV

Msimamo wa MO Dewji kwa wale wachezaji ambao hawana nidhamu

on

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba SC ambaye pia ni muwekezaji wa club hiyo Mohammed Dewji leo alikutana na waandishi wa habari na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusiana na maendeleo ya timu yao, MO pia amezungumzia ishu ya nidhamu kwa wachezaji na msimamo wa bodi ya wakurugenzi kwa wachezaji wasiokuwa na nidhamu.

“Simba ndio tumeingia katika mfumo wa mabadiliko wa kuwa kampuni miundombinu ya uwanja upo tayari, uwanja wa mazoezi tunachosubiri ni nyasi zetu tu serikali iziruhusu tumalizie timu ianze kufanya mazoezi lakini pia tumekubaliana kuwa kwa wale wachezaji ambao hawana nidhamu basi wajitaharishe kama mikataba yao itaisha sisi hatutoendelea nao”>>> MO Dewji

“Tunashindana na timu zenye nguvu, aliyetoa assist Alexandria kanunuliwa Bilioni 10”-MO Dewji

Soma na hizi

Tupia Comments