Top Stories

Zitto Kabwe mbele ya Kamati ya Bunge, Hoja moja kaitolea mifano 10

on

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe leo September 21, 2017 amefikishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa baada ya jana September 20 kukamatwa akiwa Airport DSM kisha leo mapema kusafirishwa kwenda Dodoma chini ya ulinzi.

Kukamatwa kwa Zitto kumekuja baada ya agizo la Spika wa Bunge Job Ndugai kuagizwa akamatwe na kufikishwa mbele ya Kamati hiyo ambapo alitoa maelezo yake kwenye Kamati hiyo ambayo inaongozwa na Mbunge wa Newala George Mkuchika.

BREAKING: Mahakama yamuachia huru Mbunge Lwakatare, mwenyewe atoa neno

BREAKING: Meya DSM kasitisha Mkataba Kampuni ya ukamataji Magari

Soma na hizi

Tupia Comments