Top Stories

EXCLUSIVE: Mbunge wa CHADEMA baada ya kuachia huru na Mahakama

on

Jana September 21, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilimuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare katika kesi yake ya kula njama ili kutenda kosa.

Uamuzi huo wa Mahakama umekuja baada ya Mkuruganzi wa Mashtaka ‘DPP’ kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi dhidi yake ambayo ilidumu kwa takribani miaka minne na nusu.

Baada ya uamuzi huo wa Mahakama, Ayo TV na millardayo.com zimempata Mbunge Lwakatare kwenye EXCLUSIVE interview na kueleza kila kitu…

“RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3” – MUSUKUMA

Soma na hizi

Tupia Comments